·
Kesi dhidi ya LULU: Upelelezi bado unaendelea,
mahakama yaambiwa
Waendesha mashtaka
wameiambia mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi dhidi ya
Elizabeth Michael ‘LULU’, anayekamiliwa na mashtaka ya kuhusika na kifo cha
msanii Steven Kanumba, bado haujakamilika. Hakimu Augustina Mmbando alielezwa
hatua za upelelezi wa kesi hiyo, na kwamba bado unaendelea.
Lulu hakutakiwa
kujibu mashtaka dhidi yake sababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza
kesi za mauaji, kwa mujibu wa mwenendo wa sheria ya makosa ya jinai (CPA.) Kesi
itahamishiwa katika Mahakama Kuu Tanzania , kanda ya Dar es Salaam.
Lulu aliamriwa kuendelea kukaa mahabusu na kutokea mahakamani Oktoba 8 kesi
hiyo itakapotajwa. Habari kwa mujibu wa pro-24.blogspot.com.
"Lolote mtakalo mfanyiwe na watu, nanyi watendeeni hivyo" Math 7:12.
No comments:
Post a Comment
Be free, realistic, and fair in your daily activities. Do not pretend, it will not be worth.God sees you, He doesn't need any evidence. He doesn't take bribe, thus He is perfect when He judges.He understands the reasons for happenings. He forgives, He understands, and he gives us time to correct ourselves. You know why???? Because, HE LOVES US. You and Me. Don't you feel like serving such kind of God? Try out.