Thursday, July 4, 2013

WAKATI WA MAVUNO SINGIDA

Kwa wafanyabiashara, huu ndio wakati muafaka wa kununua mazao kwa bei nafuu. Ila tu tahadhari, msiwapunje wakulima, maana wamefanya kazi ngumu sana, ya gharama na yenye kuchukua muda wao, akili zao na fedha zao ili kuzalisha. Basi mnunue kwa bei inayoridhisha, angalau nao wapate fedha za kujikimu.

 

"Lolote mtakalo mfanyiwe na watu, nanyi watendeeni hivyo" Math 7:12.

No comments:

Post a Comment

Be free, realistic, and fair in your daily activities. Do not pretend, it will not be worth.God sees you, He doesn't need any evidence. He doesn't take bribe, thus He is perfect when He judges.He understands the reasons for happenings. He forgives, He understands, and he gives us time to correct ourselves. You know why???? Because, HE LOVES US. You and Me. Don't you feel like serving such kind of God? Try out.